Habari za Mastaa

Roma Mkatoliki kafunguka haya, kama unataka kwenda kwenye soko la international (255 +AUDIO)

on

Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose, nikupitia 255 ya XXL ambapo millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza stori zote ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya April 20 2016 na  stori ambazo zimepata airtime ni pamoja na hii ya Roma Mkatoliki kuongelea uhaba wa wasanii wa nyumbani kwenye soko la nje.

10575951_1757783707788066_577688984_n

Roma Mkatoliki on Stage

Bado list ya wasanii wetu wa nyumbani kwenye soko la nje sio kubwa,  sasa leo msanii Roma Mkatoliki amefunguka kupitia 255 ‘Muda mwingine tunatofautiana misimamo unaweza ukakuta msanii anaona hapa kweli ni tundu la hela lakini unakuta mtu anakaza mpaka kwenye biashara kwahiyo muda mwingine unaona wasanii  wanachelewa kutokana na matabaka tuliyonayo‘>>>Roma Mkatoliki

kingine hofu, wasanii wengene wanaona nikimpa nafasi huyu itakuwa shida mimi najua kuna wasanii wako bongo ukiwapa nafasi ya colabo na msanii kutoka international  hakuna cha remix wala nini ndio ameshatoka‘>>>Roma Mkatoliki

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA HII YA SHUHUDA WA PANTONI LA KIGAMBONI INJINI ILIVYOZIMA KATIKATI YA MAJI….

Soma na hizi

Tupia Comments