Michezo

Ronaldo awasili Italia na kufikia karantini siku 14

on

Mshambuliaji wa Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo amerejea Turin Italia kwa ajili ya kujiandaa na kuendelea tena kwa Ligi Kuu Italia Serie A 2019/20.

Ronaldo amewasili na kusindikizwa na msafara mkubwa wa magari ikiwemo escort ya polisi, kwakuwa hakuwa Italia kwa muda atalazimika kukaa karantini siku 14 kabla ya kuungana na wenzake mazoezini.

Ronaldo msafara wake ulikuwa na ndugu, jamaa na walinzi na alikuwa awasili mapema Itali ila ndege yake ilikwama Hispania sababu ya kuzuia kuondoka kutokana na Aiport kufungwa sababu ya janga la corona.

Soma na hizi

Tupia Comments