Michezo

Ronaldo bado ana Corona

on

Staa wa Juventus Cristiano Ronaldo amepimwa tena na kukutwa bado ana maambukizi ya virusi vya Corona hivyo ni wazi ataukosa mchezo wa UEFA wa Barcelona dhidi ya Juventus.

Ronaldo ambaye aligundulika kuwa na maambukizi ya Corona October 13 2020, ataukosa mchezo wa dhidi ya Barcelona kutokana na Corona kwa mujibu kanuni za UEFA.

Cristiano Ronaldo ili aweze kucheza game hiyo alitakiwa kupimwa na kuwa negative wiki moja kabla ya mchezo lakini kwa Ronaldo hata akigundulika negative ndani ya siku mbili au moja baadae hawezi kucheza.

Soma na hizi

Tupia Comments