Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Michezo

Kubwa kutoka Hispania ni hili dau lililotajwa kumuuza staa wa soka, Cristiano Ronaldo

on

dimpoKatika yale yaliyosikika mfululizo kuhusu staa wa soka DUNIANI, Cristiano Ronaldo kuna ishu ya kuachana na mpenzi wake, ipo ya sanamu kubwa kujengwa nyumbani kwao Ureno kama ishara ya kuheshimu anavyoipa sifa nzuri nchi hiyo duniani, lakini pia ana tuzo yake ya Ballon d’Or, mwanasoka bora wa kiume duniani.

Ubora wake unampa thamani kubwa, wakala wake ametangaza dau kubwa kwa klabu yoyote ambayo itakuwa tayari kumnunua staa huyo muda wowote kuanzia sasa.

Wakala wake Jorge Mendes amesema thamani ya Ronaldo kwenye soko ni kama paundi mil. 300 iwapo Klabu yake Real Madrid .

Huyu ndiye mchezaji bora kuliko wote, huwezi kumfananisha na mchezaji mwingine yoyote“– Mendes.

Ronaldo, mwenye wa miaka 29, alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Dunia Mwezi uliopita alikua akihusishwa kurudi katika klabu yake zamani ya Manchester United lakini Mendez alisisitiza kuwa nyota huyo ataendelea kubaki katika timu ya Real Madrid pamoja na kupendwa na mashabiki wa Manchester United.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments