Michezo

Hapa kuna hii Video ya utani wa Cristiano Ronaldo kwenye gari la mchezaji mwenzake…

on

capeHaikuwa kazi rahisi kuamini alichokikuta Ricardo Quaresma wa klabu ya Ureno katika gari lake baada ya utani alioufanya mchezaji mwenzake, Cristiano Ronaldo.

Ukiachia umakini wake anapokuwa uwanjani Ronaldo alionyesha utani wa aina yake baada ya kuamua kuzungushia nailoni nyepesi kwenye gari ya mchezaji mwenzake huku akilipamba na logo ya CR7 ya kampuni ya Nike ambayo ipo kwenye kiatu chake.

cr7

Baada ya kufanya hivyo Cristiano Ronaldo aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter; “Hey @07RQuaresma, thought you could use a little more speed for our next match!”– @Cristiano

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments