Michezo

Hat-trick nyingine kwa Cristiano Ronaldo…

on

koch

Mwanasoka bora duniani Cristiano Ronaldo ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni bora zaidi ya wengine baada ya jana kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi mnono ikiwa ugenini.

rooo

Ukiwa ni ushindi wake wa 29 tangu ajiunge na Real Madrid nyota huyo aliweza kufunga hat-trik katika mechi dhidi ya Sevilla na kuisaidia Madrid kushinda kwa mabao 3-2 kwenye uwanja wa Roman Sanchez Pizjuan.

rona

Ushindi huo unaifanya ifikishe pointi 85 na kuisogelea FC Barcelona ikiwa na tofauti ya pointi mbili baada ya zote kucheza mechi 35.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments