Baada ya kuenea kwa stori ya staa wa Ureno Cristiano Ronaldo kuwa amefikia makubaliano ya kujiunga na club yq Al-Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba wa miaka miwili na nusu.
Uongozi wake imekanusha taarifa hizo na kudai kuwa Ronaldo kwa sasa akili na mawazo yake yapo kwenye michuano ya Kombe la Dunia na kuisaidia Ureno.
Ripoti zinaeleza kuwa kama Ronaldo atajiunga na Al-Nassr atakuwa akilipwa mshahara wa euro miliioni 200 kwa mwaka (Tsh Bilioni 491).