Michezo

Ronaldo yupo sawa nyumbani kwake

on

Staa wa tumu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo baada ya jana kuthibitika kuwa na Corona huku Ureno wakisema anaendelea, vizuri leo ameonesha mapenzi na sapoti yake kwa Ureno ambayo inacheza dhidi ya Sweden katika mchezo wa UEFA National League.

Ronaldo amepost picha akiwa na jezi ya nyumbani ya Ureno kutokea nyumbani kwake ambako amejitenga na kupiga picha na TV akionesha kuifuatilia game hiyo akiwa ana sapoti timu yake.

Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika Ureno ambao ndio Mabingwa watetezi walikuwa wanaongoza kwa magoli 2-0 dhidi ya Sweden, huku wakiwa na pengo la kumkosa nahodha wao Cristiano Ronaldo.

Soma na hizi

Tupia Comments