Michezo

Video: Angalia namna Ronaldo na Benzema walivyoiua Liverpool

on

article-2803759-2277BA2300000578-271_964x390Ligi ya mabingwa wa ulaya iliendelea tena jana usiku kwa michezo kadhaa kupigwa – Real Madrid walisafiri mpaka Anfield kwenda kuumana na Liverpool.

Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 3-0 kwa Real Madrid – Ronaldo alifunga goli lake la 70 katika michuano ya ulaya, Benzema akifunga mengine mawili.

Liverpool (0-3) Real Madrid (All Goals… by TeQuieroRealMadrid

Tupia Comments