Michezo

Ronaldo kipenzi cha mademu – angalia walivyomlilia baada ya kumuona

on

Screen Shot 2014-10-23 at 12.46.30 PM
Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo ameiweka dunia ya soka kwenye nyayo zake.

Akiwa na marafiki zaidi ya 135 katika mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na Instagram, mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United inawezekana pia ndio mwanasoka anayependwa zaidi na wasichana.

Wikiendi iliyopita baada ya mechi ya ushindi wa 5-0 wa Real Madrid dhidi ya Levante, mashabiki walipata nafasi ya kumuona Ronaldo kwa mara nyingine tena – na washabiki wa jinsia ya kike walianza kulia kwa furaha huku wakikumbatiana baada ya mchezaji huyo kuondoka walipokuwa.
Video hii hapa

Tupia Comments