Michezo

Video: Hivi Ronaldo alivyoikoa Real Madrid na kipigo kutoka wa Atletico

on

article-2571436-1BF82A9400000578-581_634x425Bao la dakika za mwisho la mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo limeiokoa Real Madrid na kipigo kutoka kwa mahasimu wao Atletico Madrid katika mchezo uliopigwa muda mfupi huko Spain katika dimba la Vicente Calderon.

Matokeo ya mchezo huo yalikuwa 2-2

Tupia Comments