Michezo

Mambo 8 magumu aliyowahi kufanya Cristiano Ronaldo…

on

Umaarufu wa mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo umeanzia katika kipaji chake uwanjani..lakini mbali ya kuwa maarufu kuna mambo ambayo yamemuweka kwenye wakati mgumu kabla na baada ya kupata umaarufu alionao sasa.

  1. Mwaka 2005 aliingia matatani baada ya kuhusishwa na tuhuma za kumbaka binti mmoja katika hotel iliyopo jijini London, Uingereza.

makahaba

 

2. Ronaldo amekuwa akituhumiwa kushindwa kutulia na mwanamke mmoja kutokana na kukosa uaminifu katika mahusiano aliyoyapitia.

Baada ya kuachana na girlfriend wake Irina Shayk ambaye alidumu naye kwa miaka mitano, staa huyo hajaweza kutulia na mwanamke mmwingine mpaka sasa. miongoni mwa wanawake aliowahi kuwa nao katika mahusiano ni pamoja na Kim Kardashian pamoja Paris Hilton.

patna

3. Ni baba wa mtoto aliyezaa na mwanamke asiyetambulika.

Mwaka 2010 Ronaldo hakutaka mwanamke aliyezaa naye mwanaye wa kiume Ronaldo Jr kufahamika na kuamua kumpa kiasi cha dola milioni 10 ili anyamaze.

jr

4. Alihusishwa kuwa na Uhusiano na makahaba.

rape

5. Mwaka 2012 Ronaldo alikamatwa baada ya kuonekana kwenye kamera akiendesha gari lake aina ya Lamborghini huku akiwa amempakata mwanaye aliyekuwa na  miaka 2.

son

 

6. Wakati akiwa katika mapumziko ya ligi kuu huku akila bata katika visiwa vya Saint Tropez, Ronaldo alikamatwa na kamera za waandishi wa habari akikojoa pembeni ya gari lake.

kojoa

7. Kabla ya kuwa staa akiwa na miaka 14 Ronaldo alifukuzwa shule baada ya kumrushia mwalimu wake kiti. pia hakuwa akipenda masomo.

shule

8 Mwaka 2009 alipata ajali mbaya akiwa na gari lake aina ya Ferrari 599 karibu na mji wa Manchester na kusababisha gari lake kuharibika vibaya.

fera

 

 

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata,pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Tupia Comments