Michezo

Video ya tangazo jipya la Rooney ambalo hata ukipaki basi ni shidaah!

on

rooneyMtindo wa kupaki basi ikimaanisha kwamba kulinda goli kwa wachezaji wengi ambao umetumiwa na kocha Jose Mourinho na timu yake ya Chelsea ulichukua headlines sana mpaka akawa analalamikiwa na baadhi ya makocha wenzake.

Sasa wabunifu wametengeneza tangazo la Nike likimuonyesha mchezaji Wayne Rooney akifunga goli licha ya basi la ukweli kupaki mbele ya goli.

Ili stori kama hizi zisikupite jiunge na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA pia Facebook na instagram kwa kubonyeza HAPA na HAPA ili niwe nakutumia kila kitu kinachonifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments