Habari za Mastaa

Rosa Ree asimulia historia ya maisha yake “ilibidi twende kuomba msaada Kanisani” (+video)

on

Rosa Ree anasema hatosahau siku Mama na Baba yake walipogombana na familia ikagawanyika baada ya Mama kuamua kuondoka na Watoto mpaka kwenda kuomba msaada kanisani, yote haya yalitokea wakati wakiwa Kenya ambako Baba alikua Fundi Friji na Mama alikua Mama wa nyumbani, bonyeza play hapa chini kumtazama Rosa Ree

.

Soma na hizi

Tupia Comments