Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rosa Ree aonekana kwenye show maarufu nchini Marekani, Wamarekani wamsifia
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Rosa Ree aonekana kwenye show maarufu nchini Marekani, Wamarekani wamsifia
Habari za Mastaa

Rosa Ree aonekana kwenye show maarufu nchini Marekani, Wamarekani wamsifia

January 6, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

90 Day Fiance ni Kipindi ambacho kinarushwa kupitia TV iitwayo TLC (Reality TV Show) huko nchini Marekani.

Kipindi hicho ufuatilia couple ambayo imeomba K-1 Visa na hii uwa inatolewa kwa mtu ambae sio Raia wa Marekani ambae yuko kwenye mahusiano na Mmarekani.

Kwahiyo kama ukifuata masharti yao ndani ya siku 90 basi unaweza ukawa na uhalali wa kuwa na Uraia wa Marekani.

Inaelezwa K- 1 Visa inagharimu kiasi cha Dola za Marekani Elfu $ 2025 na kuipata hiyo ndio itakupa uhalalisho rasmi wa kuishi Marekani na mwenza wako.

Sasa katika msimu mpya wa pili wa kipindi cha 90 Day Fiance time hii walikuja nchini Tanzania kwaajili ya kurekodi vipindi vyao na Rosa Ree ameonekana kushiriki.

Inaonekana kwamba Wamarekani wamevutiwa sana na ushiriki wa Rosa Ree katika kipindi hicho huku wengi wakitamani aendelee kuwepo.

Unaweza ukatazama hapa alichokifanya Rosa Ree pia na kuzisoma comments za Wamarekani namna walivyomsifia na kumpongeza.

 

Dolla 2025

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Edwin TZA January 6, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Burna Boy ajizawadia gari lenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.3 za kitanzania
Next Article Ndugai “Hali mbaya, Ndugai ajiuzulu”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?