Habari za Mastaa

Rick Ross anaisogeza nyingine mpya wiki hii, ‘2 Shots’ na video yake imenifikia! – (Video)

on

Tunazidi kuikaribia countdown kufikia uzinduzi wa Album mpya ya Rick Ross ‘Black Market’, Album inayotegema kuwa mtaani tarehe 4 December 2015, lakini kwa sasa rapper huyo anaendelea kuzisogeza videos kutoka kwenye mixtape yake ya September, Black Dollar.

Wiki iliyopita Rick Ross aliisogeza kwetu Sorry wimbo ambao video queen wake alikuwa si mwengine bali mchumba wake Lira Galore… na wiki hii rapper huyo anaisogeza nyingine mpya, wimbo unaitwa 2 Shots na video yake ipo hewani tayari.

rozel3

Hapa chini ninayo official music video ya Rick Ross, kama bado haijakufikia bonyeza play kuinasa moja kwa moja.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments