Habari za Mastaa

Rose Ndauka ajifungua mtoto wa kiume tarehe yake ya kuzaliwa

on

Mwigizaji wa kike wa Muda mrefu Rose Ndauka amefanikiwa kupata mtoto wa kiume baada ya kujifungua siku moja na siku yake ya kuzaliwa ambayo ni October 7.

Rose Ndauka amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa….>>”Happy bithday to me and my little boy,am very happy najiona niliye barikiwa sana naona utukufu wako Muumba wangu,sitaacha kukushuru kwa kila jambo

Hizi hapa chini ni Picha za Rose Ndauka akiwa Mjamzito

Soma na hizi

Tupia Comments