Habari za Mastaa

Video mpya kutoka kwa Rick Ross – Devil is a Lie

on

rozayKwenye audio ya wimbo huu Jay Z amehusika lakini kwenye hii video ameonekana Rozay tu aki-rap verse yake ya kwenye wimbo wa Devil is a lie.

Wimbo huu upo kwenye album mpya ya Rick Ross ambayo ilishika namba moja kwenye mauzo ndani wiki yake ya kwanza sokoni ikifuatiwa na G.I.R.L ya Pharell William.

[youtube youtubeurl=”7_vZCu3YZ88″ ][/youtube]

Tupia Comments