Top Stories

RPC awaka vikali kwa wanaotetea dereva Bodaboda (video+)

on

Ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Awadhi Juma Haji akiongea kwa ukali juu ya msako wanaoendelea nao wa kuwakamata madereva bodaboda wanaokiuka sheria huku akilaani vikali juu ya baadhi ya watu wanaojitokeza kuwatetea na kuahidi kuwa hawatarudi nyuma bali wataendelea kuwakamata mpaka sheria zifuatwe.

RAIS SAMIA AFUNGUKA “NAITWA BI TOZO, LINANIGUSA NDANI YA MOYO, TOZO ITAENDELEA”

Soma na hizi

Tupia Comments