Top Stories

RPC mpya Arusha kaanza kutema cheche “nachukua hatua dakika sifuri” (+video)

on

Leo March 14, 2019 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Jonathan Shanna ametoa onyo kwa wale wanaosambaza taarifa za kuwepo kwa maji yaliyochanganyika na kinyesi huku akisema atawachukulia hatua watakaopotosha kuhusu suala hilo nakusema anachukua hatua baada ya dakika sifuri bila kujali ni Mwanasiasa au mtu yeyote.

KIGOMA KAMA MWANZA: SANAMU YA SAMAKI YA ZAIDI YA MILIONI 7 IMEJENGWA

Soma na hizi

Tupia Comments