Mix

Video: Cardi b ameteaser kionjo cha remix ya ‘Fall’ ya msanii wa Nigeria Davido

on

Ni headlines za Rapper kutokea Marekani, Cardi b ambae wiki hii anatarajiwa kutoa burudani katika bara la Afrika nchi mbili ikiwemo Nigeria & Ghana.

Sasa staa huyo kupitia akaunti yake ya instagram Leo Desemba 5, 2019 akiwa kwenye ndege kuelekea katika nchini hizo mbili alitoa kionjo cha wimbo alioufanya remix ya Fall ya Msanii wa Nigeria Davido.

Kionjo hicho kimewapa majibu kwamba huenda Cardib na Davido waliowahi fanya mazungumzo juu ya collabo na mengineyo kuhusu muziki.

Unaweza ukabonyeza play ujionee Cardi b akiucheza wimbo ambao ndio remix ya Fall ya msanii wa Nigeria Davido

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments