Video Mpya

VideoMPYA: Rayvanny kachomozea South, kawaweka Maphorisa x Dj Buckz kwenye ‘MAKULUSA’

on

Ni mkali kutoka WCB Rayvanny usiku wa December 19, 2017 ameachia video yake mpya inayoitwa ‘Makulusa’ akiwa amewashirikisha wakali kutoka kwa Madiba (SA) Maphorisa na Dj Buckz, Director wa video hii ni Justin Campos ambaye ameshafanya kazi na boss wake Diamond Platnumz.

Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.

RAYVANNY APATA NAFASI NYINGINE NCHINI MAREKANI AKIWA NA JASON DERULO

Soma na hizi

Tupia Comments