AyoTV

VIDEO: Sababu za Rais Magufuli kuhamia Dodoma

on

July 25 2016 Serikali ya Tanzania imefanya maadhimisho ya siku ya mashujaa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yaloiyofanyika kitaifa Dodoma.

Katika hotuba yake Rais Magufuli amezungumzia mpango wa Serikali kuhamia Dodoma ikiwa ni moja ya kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Julius Nyerere aliyesema makao makuu yawe Dodoma.

Baba wa taifa alisema na makao makuu yawe Dodoma, haiwezekani sisi watoto wake na wajukuu wake tupinge kauli ya mzee huyu. Nilikwishazungumza na narudia katika siku hii kuwa katika kipindi kilichobaki nitahakikisha mimi na serikali yangu tunahamia Dodoma‘ –Rais Magufuli

ULIIKOSA SENTENSI ZA RAIS MAGUFULI KUHUSU MASHUJAA WALIOFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments