Video Mpya

VideoMPYA: Rayvanny kashirikishwa kwenye “Fine” ya Safi Madiba wa Rwanda

on

Mabibi na mabwana msanii kutokea Rwanda Safi Madiba anakualika kuitazama video ya wimbo wake mpya “Fine” akiwa amemshirikisha Rayvanny kutokea record label ya WCB. Enjoy video hiyo kwa kubonyeza PLAY.

“Namuelewa Babu Tale angeweza kuandika zaidi” – Ruby

Soma na hizi

Tupia Comments