AyoTV

VIDEO: Safari ya kwanza kwa ‘Navy Kenzo’ Israel wameyaongea haya

on

Navy Kenzo ni kundi la muziki kutokea kwenye ukoo wa bongofleva, ni wakali wengine wa Tanzania ambao wanazimiliki headlines hata nje ya mipaka ya Tanzania, sasa leo April 12, 2017 wamefunguka wakiwa Airport Dar es Salaam wakielekea Israel kwaajili ya kufanya show pamoja na kutambulisha album yao mpya ‘AIM (Above Inna Minute)’.

Unaweza kuitazama hii video hapa ujionee wakizungumza safari yao ya Israel wakiwa Airport Dar es Salaam.

 

ULIIKOSA HII KAULI YA PRODUCER P FUNK MAJANI KUHUSU UJIO MPYA WA WASANII WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments