Top Stories

PICHA 13: Bomoa Bomoa ilivyopitia leo jengo la wizara ya maji

on

Jumatatu ya November 27, 2017 jengo la wizara ya maji na umwagiliaji lililopo Ubungo jijini Dar es Salaam limebomolewa kama taarifa ya awali ilivyotolewa kwa ajili ya kupisha utanuzi wa mradi wa barabara ya Morogoro inayoanzia Ubungo mataa.

 

VIDEO: TAARIFA YA CHADEMA DAR ES SALAAM KUHUSU UCHAGUZI WA UDIWANI LEO, BONYEZA PLAY HAPA  CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments