Top Stories

VIDEO: Ubunifu uliofanywa wakutoa elimu ya bure kwa vijana wa miaka 15 hadi miaka 35

on

Wiki iliyopita nilikusogezea stori kutoka kwa vijana wa chuo kikuu, Salvatory na Adam Duma ambao walituonesha ubunifu kwa kutengeneza Application ya kumuita mwalimu akufundishe mpaka ulipo sasa leo Feb 11, 2019 tuna habari njema nyingine ambayo inahusisha ubunifu uliofanywa na watanzania wa kutoa elimu bure kwa vijana wa miaka 15 hadi 4.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu zaidi kwa kutazama Video.

ULIPITWA NA HII YA WANAFUNZI WA UDSM WALIOTENGENEZA APP YA ‘KUMUITA MWALIMU MPAKA ULIPO’

EXCLUSIVE: Ruck Baby mwenye mavazi ya utata kazungumza 

Soma na hizi

Tupia Comments