Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) linawaomba wadau kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu mialiko ya Mkutano Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) uliofanyika jana nchini Tanzania.
Kwa Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.