Habari za Mastaa

Linex Sunday, Mr T Touch wamekutanishwa na Rotten Blood kwenye ‘Bata Day’

on

Kama umei-mis sauti ya Linex Sunday leo July 24, 2018  nakusogezea hii ameshirikishwa na kundi la Rotten Blood toka Arusha wimbo unaitwa ‘BATA DAY’ na Producer ni Mr T Touch kutoka Touch Sound..

IKO WAPI SIO HABARI? Idris kaelezea inarudi vipi na siyo Clouds tena?

 

Soma na hizi

Tupia Comments