Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 12: Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe walivyokutana na waandishi
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > PICHA 12: Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe walivyokutana na waandishi
Habari za Mastaa

PICHA 12: Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe walivyokutana na waandishi

April 10, 2017
Share
4 Min Read
.
SHARE

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake walikutana na waandishi wa habari kuzungumza juu ya tukio hilo zima, hizi ni baadhi ya picha kutoka kunakofanyika mkutano huo.

.
.
.

.
.
.
.
.
.
.

‘Nataka niende nikawoane watu wa upelelezi haraka tupate majibu mapema kabla sijawasilisha bajeti yangu nataka ipite bila maswali’-Mwakyembe

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

Waandishi wamempatia Waziri Mwakyembe kipande cha sauti inayoeleza Roma atapatikana kabla ya Jumapili ili aitazame na kujibu swali pic.twitter.com/Sqk19kMBQ7

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Nilishasema mara nyingi wasanii wana uhuru wa kujieleza’-Waziri Mwakyembe #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/0fjK0Xbfpu

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

Msanii Roma Mkatoliki akionyesha majeraha aliyoyapata baada ya kutekwa na kupelekwa kusikojulika #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/daQsJtsiqF

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Mimi nawathamini sana wasanii, hawa ni brand na wanapeperusha bendera ya Tanzania’-Waziri Mwakyembe

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Hii siyo hali ya kawaida kwa Watanzania lazima tutafute chanzo chake ni nini’>>>Waziri Mwakyembe

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Wenzetu wamesema wafanye upelelezi kwa hiyo tuwaache’>>>Waziri Mwakyembe

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Naomba wasanii, pale ambapo utakuta mtu wa ajabu anakuhoji, nipigie hata simu’>>>Waziri Mwakyembe

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

“Hao watu walituhoji na yaliyokuwa yanaendelea tumeyaripoti, na ndio maana unaona haya majeraha’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Siwezi kujua kama tulitekwa kwa sababu ya ishu ya kazi zangu za muziki, wanaopeleleza watatoa ripoti’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Watu waliokuja walikuwa na silaha za moto na amri yao ya kwanza ilikuwa ingieni kwenye gari’ >>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Tukio tumeshaliripoti na upelelezi unaendelea, na upelelezi ukiwa unaendelea haturuhusiwi kusema lolote’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Kuna watu wanasema tumepewa dola 5000 si kweli, hilo linatuumiza sana’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Kilichotokea kikienda na dhana hiyo, tutawapoteza wengi, kilichotokea ni kweli siko sawa kiafya’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Maneno yanayoendelea kwamba tumepewa fedha, inatuumiza sana sisi kama wasanii’>>> Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Kuna watu wanaamini hii ni kiki, kuna wengine wanasema tunatumika kisiasa, kuna wanaoeleza kama wanajua kilichotokea’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Sisi ni wadogo sana tunaomba vyombo vya usalama mtusaidie, bado tunahitaji ulinzi’>>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Pamoja na ulinzi uliokuwepo pale lakini bado yametukuta yaliyotukuta’, >>>Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

‘Hatuna uhakika wa usalama wetu asilimia 100 na tulipotoka si pazuri’>>> Roma Mkatoliki

— millard ayo (@millardayo) April 10, 2017

UNAWEZA UKABONYEZA PLAY KUSIKILIZA ALICHOSIMULIA ROMA MKATOLIKI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI  JINSI WALIVYOTEKWA

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

TAGGED: roma mkatoliki
Edwin TZA April 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Bashe na Sugu Bungeni, ni kuhusu matukio ya kutekwa
Next Article FULL VIDEO: Roma Mkatoliki asimulia kila kitu walivyotekwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports February 2, 2023

You Might also Like

Sports

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

February 2, 2023
Sports

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

February 2, 2023
Sports

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

February 1, 2023
Sports

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?