Habari za Mastaa

Ruby katuletea hii cover ya single ‘Utanipenda’ ya Diamond Platnumz

on

Ni msanii Ruby amefanya cover ya wimbo wa staa Diamond Platnumz uitwao Utanipenda, unaweza ukausikiliza hapa kisha usisahau kuandika maoni yako ili mkali huyo akipita hapa aone mlichokiandika.

KAMA ULIIKOSA HII YA SABABU YA MSANII RUBY KUTOKUONEKANA KWENYE VIDEO YA ‘SU’ YA YAMOTO BANDD BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments