Habari za Mastaa

Ni kweli Alikiba kamuomba msamaha Ruby kwa kutumia jina lake kwa Mbwa..?

on

Masaa machache yamepita tangu msanii wa Bongo fleva Ruby kuweka post yenye malalamiko kuhusu star wa Bongo Alikiba kutumia jina la Ruby kwa mbwa wake, hapa nakusogezea post yake nyingine akidai kupokea ujumbe wa msamaha.

MAJIBU

Maneno yamesomeka hivi>>

Asante sana kaka@officialalikiba Msamaha wako nimeupokea na nimekubali japo umeondoa post yako. Utakuwa na sababu zako unazojua mwenyewe. Kama nilivyosema mwanzo issue sio jina la mbwa wako, issue ni huo ‘mfugo’ uliofanywa topic na watu wako wa karibu na kunifanya nianze kuhisi huenda ulikuwa na maana nyingine. Since umepiga simu kwa boss wangu kuomba radhi, mimi sina kinyongo, naomba Mungu huyo mbwa awe anabweka tu ha ha,tufanye tu kazi kaka

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments