Ni Staa kutokea nchini Nigeria , Rudeboy ambae leo Agosti 5, 2021 anamiliki Vichwa vya Habari nchini kwao baada ya kuachia album yake mpya iitwayo Rudy Kill us.
Staa huyo ameachia album hiyo yenye nyimbo zisizopungua 11, unaweza ukabonyeza kusikiliza hapa
JEURI YA PESA.. JAMAA ANALIPWA ZAIDI YA MILIONI 12 KWA SIKU KUMSHIKIA MWAMVULI STAA HUYU WA MAREKANI