Habari za Mastaa

Roma kafunguka ” Natamani Ruge angekuepo, bila kufeki pengo lake linaonekana”

on

Mkali kutoke kwenye kundi la ROSTAM, Roma amefunguka kuhusu kuahirishwa kwa show ya Fiesta grand finale iliyokuwa ifanyike Leaders Club DSM siku ya November 24, 2018 pamoja na kumzungumzia Ruge Mutahaba ambapo amesema ameliona pengo la Ruge na anatamani angekuepo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama ROMA akifunguka.

VIDEO: Kubomolewa kwa Club Elements usiku, Uongozi Umezungumza

Soma na hizi

Tupia Comments