Mix

PICHA 9: Rugemarila na Harbinder Sethi wakitolewa mahakamani Kisutu DSM

on

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa ‘TAKUKURU’ imewafikisha mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabili ambapo wamesomewa mashtaka sita likiwemo la uhujumu uchumi.

Mahakama ya Kisutu imesema upelelezi bado unaendelea na haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa watuhumiwa hivyo wamerudishwa rumande

BREAKING: TAKUKURU yawapeleka Mahakamani Rugemalila na Harbinder Sethi, Bonyeza Play hapa chini Kutazama

VideoFUPI: James Rugemarila na Harbinder Sethi wamefikishwa mahakamani muda huu, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments