AyoTV

VIDEO: “Mnachoma moto nyumba za watu na bado mnawafunga? “-Mbunge Heche

on

November 8, 2017 mkutano wa sita wa bunge la 11 umeendelea tena Bungeni Dodoma ambapo Wabunge walikuwa wakijadili na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango na bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019

Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuzungumza ni pamoja na Mbunge wa Tarime vijijini John Heche ambaye alihoji uhalali wa serikali kuchoma moto nyumba za waanchi wa tarime pamoja na kukamata mifugo ya wafugaji

Huwezi leo unakuta mtu kajenga nyumba yake, ukabomoa na kumuacha akilala barabarani kama watu wa Kimara na sehemu nyingine alafu ukasema unafanya maendeleo… na unawaambia kwa kiburi kabisa kwamba hakuna fidia” – John Heche

Ulipitwa na hii? Waziri Mwijage afunguka baada ya Rais Magufuli kumchallange kuhusu viwanda

 

Soma na hizi

Tupia Comments