Habari za Mastaa

Runtown karudi na hii Official Video ‘Walahi’…

on

Runtown wa Nigeria karudi kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Walahi’ ambayo ipo kwenye album yake mpya ya ‘Ghetto University’.

Nakukaribisha kuitazama hapa mtu wangu…

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Tupia Comments