Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Russia: Serikali yapiga marufuku matumizi ya iPhone kwa viongozi wake.
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Russia: Serikali yapiga marufuku matumizi ya iPhone kwa viongozi wake.
Top Stories

Russia: Serikali yapiga marufuku matumizi ya iPhone kwa viongozi wake.

March 21, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Ofisi ya Rais wa Russia imewataka maofisa wa nchi hiyo kutotumia simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Marekani ya Apple, kwa sababu kuna wasiwasi kwamba vifaa hivyo vinaweza kuwa hatarini na kutumiwa na mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi kwa ajili ya kufanya ujasusi.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Russia, Sergey Kirienko, ambaye alikuwa akihutubia kongamano lililoandaliwa na Kremlin kwa maafisa wanaohusika na siasa za ndani, amewataka maafisa hao wabadilishe simu zao ifikapo Aprili mwaka huu.

Ameongeza kuwa: “Kila kitu kimekwisha kwa iPhone, tunapaswa ama kuzitupilia mbali au kuwapa watoto” na kwamba maafisa wote wanapaswa kutekeleza amrii hiyo. Kuna uwezekano kwamba, Kremlin itatoa vifaa vingine na chaguo tofauti kama mbadala kwa iPhone.

Hapo awali, simu za mkononi za viongozi wengi wa nchi na watu mashuhuri, akiwemo Jeff Bezos, mmiliki wa kampuni ya Amazon, na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, zilidukuliwa kwa kutumia programu maarufu ya ujasusi ya Israel, Pegasus.

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 21, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Siku ya Viwango Afrika, TBS yawaita wadau kushiriki uandaaji viwango
Next Article Namibia yaadhimisha miaka 33 ya uhuru.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?