AyoTV

Asubuhi hii Mafundi wa TRL waliokesha wakitengeneza reli palipoanguka Treni

on

Shirika la reli Tanzania TRL jana usiku lilifanya mahojiano na AyoTV na millardayo.com ambazo zimeweka kambi kwenye eneo la tukio ilikopata ajali Treni ya abiria ya Express ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam.

Kwenye mahojiano hayo ilitamkwa kwamba reli hiyo iliyoharibika ni lazima itengenezwe ili kuruhusu Treni za Mizigo na abiria ziendelee na shughuli zake kama kawaida leo na ndio maana Mafundi hawa wamekesha wakitengeneza, unaweza kuwatazama kwenye hii video fupi hapa chini.

VIDEO: Saa 5 baadae kwenye eneo ilikoanguka Treni ya abiria ikitokea Kigoma, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments