AyoTV

VIDEO: Mabehewa ya Treni iliyoanguka Ruvu yalivyosogezwa, tazama Treni ya kwanza ilivyopita baada ya ajali

on

January 29 2017 ilitokea ajali ya treni ya abiria ya Delux maeneo ya Ruvu kwenye mkoa wa Pwani ikitokea Kigoma kwenda Dar es salaam saa tisa na dakika 40 alasiri.

Kwenye ajali hiyo hakuna aliyefariki lakini majeruhi ni Watano na mmoja ndio aliumia sana ambapo AyoTV na millardayo.com zilikaa kwenye eneo la tukio kuanzia siku ya ajali mpaka leo kuchukua picha za kila hatua inayofanyika.

Camera za AyoTV na millardayo.com zimenasa jinsi Mabehewa hayo yalivyosogezwa na pia jinsi Treni ya abiria kutokea Dar es salaam ilivyopita kwenye eneo la tukio, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments