Top Stories

Rwanda yaruhusu kilimo cha bangi

on

October 14, 2020 Taarifa kutoka Serikali ya Rwanda ni kwamba imehalalisha kilimo cha bangi ambayo itauzwa nje ya nchi, ili kuweza kushiriki katika soko la dunia la bangi na kupata faida kibiashara.

Soko la Bangi la Dunia lina thamani ya Dola za Marekani Bilioni 345 ambazo ni takriban Tsh. Trilioni 800.

Waziri wa Afya nchini humo, Dkt. Daniel Ngamije amesema zao hilo litakuwa kwa ajili ya biashara tu na matumizi ya bangi kwa starehe au tiba yanaendelea kuwa haramu kwa mujibu wa Sheria.

RAIS MAGUFULI ALIVYOINGIA MSIKITINI, ASIMULIA ALIVYOULIZWA MASWALI NA MFALME

Soma na hizi

Tupia Comments