Top Stories

JK kawaongoza Lowassa, Mzee Kinana na wengine mazishi ya Mfanyabiashara

on

Leo August 9, 2017 mwili wa Mfanyabiashara maarufu na Mmiliki wa Impala Hotels Faustine Mrema umezikwa ambapo viongozi mbalimbali wa kisiasa na waliongozwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete katika mazishi hayo.

Mazishi hayo yalihudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa.

VIDEO: Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda, Ruge na Wahariri kuongea leo

Soma na hizi

Tupia Comments