AyoTV

Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz..(+Video)

on

Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya kuchana yaani (FreeStyle)  mkoani Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar kwenye fainali za mashindano hayo akaibuka pia kuwa mshindi ndipo Tip Top Connection ilipomchukua na kuwa chini yake.

Raymond ameshaoneka na kwenye majukwaa mengi hasa kwenye show za Madee,Kutokana na ukaribu wa Label ya TipTop Connection na WCB,Menejimenti zimekaa chini na kukubaliana kumtoa kupitia label ya Wasafi (WCB) ambayo uongozi wa label hiyo upo chini ya Diamond Platnumz.

Najua nina watu wangu ambao mlikuwa na hamu ya kufahamu vitu vingi kutoka kwa msanii huyo mpya kutoka WCB, sasa basi tazama hii video hapa chini Raymond akielezea alivyokutana na Diamond mpaka kusainiwa katika label ya WCB (Wasafi).

Kama ulimiss Harmonize alivyokutana na Diamond Platnumz – INTERVIEW PART 2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments