Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Alicios kaja na hii “Ya nini” akimshirikisha Kalighraph Jones

on

Msanii kutokea Congo anayefanya muziki wake nchini Kenya Alicios leo December 14 2017 amezichukua headlines tena baada ya  kuachia video mpya ya hit single yake ya ‘Ya Nini’ aliyomshirikisha mkali mwenzake kutokea Kenya Kalighraph Jones unaweza bonyeza PLAY kuitazama video yenyewe.

AUDIO:Mama Diamond kafunguka ni kuhusu Diamond na Zari

Soma na hizi

Tupia Comments