Habari za Mastaa

HATIMAYE: Ommy Dimpoz karudi nyumbani, kafunguka “Mliosema nimekufa nitakufa tu”

on

Mwimbaji Ommy Dimpoz amerudi nyumbani baada ya kupatiwa matibabu nje ya nchi kwa muda na alipo wasili tu AyoTV na millardayo.com zilimpata na kufanya mazungumzo naye.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO OMMY DIMPOZ ALIVYOWASILI NA KUZUNGUMZA KUHUSU AFYA YAKE.

EXCLUSIVE Interview Ommy Dimpoz akifunguka yote kwa Millard Ayo 

Soma na hizi

Tupia Comments