Baada ya kusambaa picha na video zinazomuonesha Hamisa Mobetto akiwa na mwanaume mwingine ambaye anadaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya huku mrembo Taiya na yeye kwa upande mwengine akidai kuwa ni alikuwa ni mpenzi wake, AyoTV na millardayo.com imempata Carry Mastory ambaye kazungumza.
Carry Mastory ambaye amekuwa akipost sana umbea kupitia mtandao wa Instagram amefunguka kuhusu hilo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.
Mahaba ya Barnaba na Mama mtoto wake yameanza kurudi upya.? chanzo wimbo mpya ‘Washa’