Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni msanii Danzak tena… kadondosha hii mpya

on

Karibu kuitazama video mpya ya msanii Danzak ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Machejo’ na video hiyo imetayarishwa na director Ivan, ikiwa na dakika 3:14. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama kisha usisahau kumuachia komenti yako msanii Danzak.

MTAZAMO WA NIKKI WA PILI JUU YA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO “KUNA MADODOSO”

Soma na hizi

Tupia Comments