Video Mpya

VideoMPYA: Kutoka kwenye Album ya V.money kaidondosha hii ‘The way you are’

on

Mwimbaji Vanessa Mdee anakualika kuitazama video yake mpya kutoka kwenye Album yake ya Money Mondays, wimbo unaitwaThe way you are’.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama kisha usisahu kuacha komenti yako na itamfikia V.money.

VIDEO: Usiku wa mswahili, vyakula vya Kiswahili vyatawala, Mlenda mpaka Kempinski

“Sijaiga, mimi ndiyo nilianza, wanaofanya Comedy wameniangalia, mimi ni mfano” MC Pilipili

Soma na hizi

Tupia Comments