Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa leo June 29, 2017 alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa mara ya pili baada ya kupata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Tazama VIDEO hii hapa chini!!!
Tamko la CHADEMA mbele ya waandishi DSM!!!