Habari za Mastaa

VIDEO: Kutana na Kizibo chalii wa Arusha na vazi lake la Taifa

on

Story kubwa kwa sasa Arusha ni kuhusu Vibe la fiesta ambapo wakazi wa hapa wamekuwa wakitumia ubunifu mbalimbali kuendelea kuonesha mvuto wa vibe uliopo Arusha, sasa AYO TV na millardayo.com zimekutana na chalii wa Arusha anayeitwa Kizibo na ubunifu wa vazi lake aliloliita ‘Vazi la Taifa’.

VIDEO: Jamaa aliyechungulia fursa FIESTA ARUSHA awatengenezea mastaa culture

NOMA!! WALIVYOPOKELEWA WASANII FIESTA ARUSHA

Soma na hizi

Tupia Comments